Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma asema anawaunga mkono Wazimbabwe wakati ambapo raia nchini humo wameandamana kumshinikiza Rais Mugabe kujiuzulu.// Waziri mkuu wa Lebanon Saad Hariri asema atarejea Lebanon Jumatano.//Misri yafungua mpaka wa Gaza kwa mara ya kwanza tangu mkataba wa ushirikiano