Aliyekuwa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan afariki dunia baada ya kuugua muda mfupi, idadi ya vifo vya wahanga wa ajali ya daraja la Morandi yaongezeka na kufikia 41 na Kansela wa Ujerumani Angela Merkel na rais wa Urusi Vladimir Putin kufanya mazungumzo Ujerumani.