Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan atarajia bunge la nchi hiyo kuridhia kurejeshwa kwa adhabu ya kifo, Ujerumani yawatishia kuwazuia wanasiasa wa Uturuki kujitokeza mbele ya hadhara na Canada yaaahidi Dola Milioni 90 za kukabiliana na njaa katika nchi nne za Afrika