Karibu usikilize matangazo ya mchana. Miongoni mwa yaliyomo ni pamoja na taarifa ya habari, na yale yaliyotawala vichwa vya habari huko barani Afrika kwenye Afrika Wiki Hii, Je umemsikia rais wa Rwanda Paul Kagame na onyo lake kali dhidi ya anaowataja kuyumbisha usalama wa taifa hilo la Afrika Mashariki? Tafadhali usikose.