Chama kikubwa cha kikristo nchini Lebanaon kimepinga pendekezo la kumteua Saad al-Hariri kuwa Waziri Mkuu. Kansela Angela Merkel amewataka wajerumani kuungana kudhibiti janga la virusi vya corona. Mfalme na Malkia wa Uholanzi wanakatiza mapumziko ya likizo kutokana na hasira ya umma