Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu Yemen , amefanya mazungumzo ya dharura kuhusu usimamizi wa bandari ya Hodeida.//
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel anapanga mkutano wa dharura kuepusha mgogoro katika muungano wake kuhusu sera ya uhamiaji. //
Croatia imeicharaza Nigeria huku Argentina ikitoka sare na Iceland