1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17,03,2018-Matangazo ya mchana

Isaac Gamba
17 Machi 2018

Tuliyo nayo ni pamoja na : Urusi yatangaza kuwafukuza wanadiplomasia 23 wa Uingereza//Mwanasheria mkuu wa Marekani Jeff Sessions amtimua Naibu Mkurugenzi wazamani wa FBI Andrew McCabe// Xi Jinping achaguliwa bila kupingwa kuwa rais wa China.

https://p.dw.com/p/2uVe6