Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Israel yasema 'maslahi ya taifa' kwanza katika kuijibu Iran / Shirika la kimataifa la utetezi wa haki za binaadamu la Human Rights Watch limechapisha ripoti mpya inayosema, mamlaka nchini Rwanda zinafanya ukiukaji mkubwa wa haki za binaadamu magerezani, ikiwemo kuwatesa wafungwa.