Idadi ya vifo vilivyosababishwa na mripuko wa bomu mjini Mogadishu yazidi kuongezeka, Rais wa jimbo la Catalonia Carles Puigdemont akabiliwa na maamuzi magumu kuhusu hatua yao ya kujitenga na Uhispania na Marekani kuendeleza juhudi za kidiplomasia katika mzozo kati yake na Korea Kaskazini.