1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.06.2021 - Matangazo ya Asubuhi

15 Juni 2021

Mkutano wa kilele wa Jumuiya ya NATO wamalizika kwa kuzikemea China na Urusi. Rais Joe Biden leo atafanya mazungumzo na viongozi wakuu wa Umoja wa Ulaya. Waisraeli wenye msimamo mkali wanapanga kufanya maandamano mjini Jerusalem Mashariki.

https://p.dw.com/p/3uurT