1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.03.2020 - Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S15 Machi 2020

Ujerumani imetangaza kufunga mipaka yake na nchi jirani kupambana na virusi vya Corona. Maelfu ya watalii wamekwama nchini Moroco baada ya kuzuiwa usafiri wa ndege. Wanasiasa Joe Biden na Bernie Sanders watashiriki mdahalo mjini Washington.

https://p.dw.com/p/3ZTFL