1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.10.2020 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi

V2 / S12S14 Oktoba 2020

Mawaziri na magavana wa kundi la G20 wanakutana leo kujadili hali ya uchumi wa dunia. Vikosi vya Armenia na Azerbaijan vimetumbukia kwenye awamu mpya ya mapigano. Urusi na Marekani bado zinavutana kuhusu mkataba wa kudhibiti silaha za nyuklia.

https://p.dw.com/p/3juAf