1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.05.2022 Matangazo ya Asubuhi

14 Mei 2022

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa hapo jana Ijumaa limelaani kwa kauli moja mauaji ya mwandishi wa habari wa Al Jazeera mwenye asili ya Palestina Shireen Abu Akleh alipokuwa akiripoti katika msako wa jeshi la Israel katika eneo linalokaliwa kimabavu la Ukingo wa Magharibi.

https://p.dw.com/p/4BHzE