1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.08.2017 Matangazo ya Jioni saa 12:00 (Afrika Mashariki)

13 Agosti 2017

https://p.dw.com/p/2i9XD

Miongoni mwa yaliyomo kwenye matangazo:

Kiongozi wa Upinzani nchini kenya Raila Odinga awataka wafuasi wake wasiende kazini Jumatatu ili kuwaomboleza wafuasi waliouawa na kwamba atatangaza mkakati wake siku ya Ijumaa kuhusu uchaguzi wa wiki iliyopita ambapo Rais Uhuru Kenyatta alitangazwa mshindi.


Mkuu wa kundi la al-Shabaab nchini Somalia ajitenga na kundi hilo na kujiunga na serikali


Na Japan yaweka vitibua makombora kutokana na hofu ya kisiwa cha Guam kushambuliwa na Korea Kaskazini