Kansela wa Ujerumani Angela Merkel akamilisha ziara barani Afrika kwa kuitembelea Ethiopia na kusisitiza umoja// Umoja wa Ulaya wasema hautaregeza vikwazo dhidi ya Urusi// Umoja wa Mataifa wahofia huenda machafuko yakaibuka katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.