1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12,09,2020 Matangazo ya Jioni

12 Septemba 2020

Zaidi ya watu 50 wamekufa baada ya kutokea maporomoko ya ardhi katika maeneo ya machimbo ya dhahabu karibu na mji wa Kamituga, katika jimbo la Kivu ya Kusini huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.

https://p.dw.com/p/3iNrJ