1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.03.2023Matangazo ya Mchana

12 Machi 2023

Walinzi wa pwani ya Italia pamoja na jeshi la wanamaji wamewasafirisha na kuwapeleka sehemu salama mamia ya wahamiaji waliookolewa, huku maelfu ya wahamiaji wengine wakiripotiwa kuwasili katika kisiwa kidogo cha watalii katika bahari ya Mediterania.

https://p.dw.com/p/4OZGi