1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.10.2020 Taarifa ya Habari ya Asubuhi

V2 / S12S11 Oktoba 2020

Daktari wa Ikulu ya Marekani, Sean Conley amesema, Rais Donald Trump hayumo tena katika kitisho cha kuweza kuambukiza virusi vya corona, Armenia na Azerbaijan zimekubaliana kusitisha mapigano katika mpango wa upatanishi ulioratibiwa na Urusi.

https://p.dw.com/p/3jkYn