Dunia inakabiliwa na janga kubwa kabisa la kibinaadamu ambalo halijawahi kutokea tangu kuanzishwa kwa Umoja wa Mataifa 1945,Rais Trump kukutana na Kansela Merkel Jumanne na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa aomba usaidizi wa polisi kwa ajili ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.