1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.04.2023 Matangazo ya Jioni

10 Aprili 2023

China imetangaza kuhitimisha "kwa mafanikio" siku tatu za luteka za kijeshi kuizunguuka Taiwan, yaliyojumuisha uoneshaji wa nguvu zake, uwezo wa kushambulia na kukizingira kisiwa hicho kinachojitawala chenyewe.

https://p.dw.com/p/4PscG