Viongozi wa ulimwengu waendelea kutma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mwanamfalme Phillip wa Uingereza.
Iran imetangaza kuzindua mitambo ya kisasa ya kurutubisha madini ya Urani.
Serikali ya Djibouti imesema rais Omar Guelleh ameshinda muhula mwingine.