Rais Emannuel Macron wa Ufaransa ameitaka jumuiya ya kimataifa kutoa msaada wa haraka wka Lebanon. Mgombea wa kiti cha urais nchini Belarus ametoa wito wa uchaguzi unaofanyika leo kuwa haki . Afghanistan itawaachia huru wafungwa 400 wa kundi la wanamgambo wa Taliban