Rais wa Iran amesema mazungumzo kuhusu mkataba wa nyuklia ya mjini Vienna yanafungua ukurasa mpya.
Viongozi wa Marekani na Jordan wamefanya mazungumzo kwa njia ya simu kuhusu ushirikiano.
Syria imesema makombora ya Israel yamewajeruhi wanajeshi wake wanne.