Kundi la waasi nchini Nigeria la Boko Haram limewaachia huru wasichana 82 waliowateka nyara zaidi ya miaka mitatu iliyopita wakiwa shuleni mjini Chibok Nigeria na Baada ya kampeni iliyozongwa na kashfa na mishangao, wapiga kura nchini Ufaransa leo hii wataamua nani atakaewaongoza katika kipindi cha miaka mitano ijayo.