Mazungumzo kati ya Iran na madola yenye nguvu kuhusu mkataba wa nyuklia yamefanyika mjini Vienna.
Umoja wa Ulaya umesema Uturuki inapaswa kuheshimu haki za binadamu kama inataka ushirikiano wa karibu.
Zaidi ya watu 4,000 wamekufa nchini Brazil kutokana na COVID-19 ndani ya siku moja.