1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.08.2021 Taarifa ya habari ya Asubuhi

7 Agosti 2021

Wizara ya ulinzi nchini Burkina Faso imesema watu 30 wameuwawa wakiwemo wanajeshi 15, kwa kile kinachoelezwa mashambulizi ya kigaidi katika vijiji vya kaskazini mwa taifa hilo.

https://p.dw.com/p/3ycNB
Angola Polizei
Picha: Issouf Sanogo/Getty Images/AFP