Sikiliza hapa taarifa ya habari za ulimwenguni, ambazo miongoni mwake ni tahadhari ya vikwazo vipya dhidi ya Suda kufuatia mzozo unaoendelea nchini humo, Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amekiri ugumu wa kujiunga na NATO wakati huu vita vikiendelea na nyinginezo nyingi.