1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

04.06.2022 Matangazo ya Mchana

Hawa Bihoga
4 Juni 2022

Ukraine imesema imerejesha tena sehemu ya mji wa viwanda wa Sievierodonetsk++Duru ya 8 ya mazungumzo kuhusu katiba ya Syria imekamilika kwa mafanikio kidogo++Mwandamanaji auwawa Sudan wakati mtaalamu wa haki za binadamu Umoja wa Mataifa akitembelea nchi hiyo

https://p.dw.com/p/4CHeB