1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

03.07.2021 Matangazo ya Jioni

3 Julai 2021

Mshambuliaji wa kujitoa muhanga wa kundi la Al-Shabaab amesababisha vifo vya watu 10 na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya kuulenga mgahawa wa chai uliokuwa na idadi kubwa ya watu mjini Mogadishu nchini Somalia.

https://p.dw.com/p/3vyx9