Miongoni mwa yaliyomo ni pamoja na
Waziri wa Ulinzi wa Marekani Jim Mattis, amesema Korea Kaskazini haitaondolewa vikwazo hadi pale itakapochukua hatua za kuthibitika za kumaliza silaha za nyuklia. //Ndege za vita za Israel zimeshambulia maeneo 10 ndani ya Gaza kama jibu kwa roketi zilizorushwa na Wapalestina.// Mawaziri wa fedha wa G-7, wamtaka Rais Donald Trump kuepusha vita vya kibiashara