1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

03.05.2020 - Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S3 Mei 2020

Mahakama ya juu nchini Israel imeanza kuskiliza pingamizi dhidi ya waziri mkuu Benjamin Netanyahu. Umoja wa Ulaya umelaani ukandamizaji dhidi ya waandishi habari. Wanajeshi wa Korea mbili washambuliana kwenye eneo la mpaka.

https://p.dw.com/p/3biFP