Eneo la Mashariki ya Kati liko ukingoni mwa vita kamili vya kikanda baada ya Iran kuvurumisha hapo jana mamia ya makombora kuelekea Israel, huku hali ikizidi kuwa tete huko Lebanon// Ripoti mpya ya Shirika la Afya Ulimwenguni, WHO, imesema katika kipindi cha muongo mmoja uliopita, idadi ya vifo kutokana na ajali za barabarani imeongezeka kwa kiasi kikubwa barani Afrika.