Israel bado imeshikilia msimamo wake kuwa muda wowote kutoka sasa, italipiza kisasi mashambulizi ya makombora yaliyofanywa na Iran nchini mwake// Nchini Rwanda kunakoripotiwa vifo vya watu watano baada ya kuambukizwa virusi vya Marburg// Mechi za ligi ya mabingwa barani Ulaya zinachezwa tena leo usiku.