Iran imeishambulia Israel kwa dazeni kadhaa za makombora // Kwa miaka kadhaa Umoja wa Ulaya umekuwa ukiimarisha sera yake ya uhamiaji, lakini umaarufu unaoongezeka wa siasa kali za mrengo wa kulia unafanya nchi wanachama kugombana kuhusu mpango wao mpya wa mageuzi ya kuomba hifadhi// Hoja ya kumuondoa madarakani naibu rais wa Kenya Rigathi Gachagua iliwasilishwa katika bunge la taifa hilo jana.