Watu sita wakiwemo watoto wawili wameuawa kufuatia shambulizi la Bomu mjini Mogadishu.// Kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei, amesema hakuna uwezekano wa kutokea vita, lakini amevitaka vikosi vya kijeshi vya Iran kujiimarisha.// Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Ujerumani awahimiza wajerumani kuupiga vita ubaguzi wa rangi