1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.05.2021 Matangazo ya Mchana

2 Mei 2021

Rais Mohamed Abdullahi Mohamed wa Somalia ameanzisha tena mazungumzo juu ya kufanyika kwa uchaguzi mpya, hatua ambayo imepokelewa vyema na upinzani, baada ya taifa hilo kugubikwa na machafuko mabaya.

https://p.dw.com/p/3srEf