1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

01.02.2020 - Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S1 Februari 2020

Rais wa Palestina ametishia kusitisha mahusiano yote na Israel pamoja na Marekani. China na Urusi zimekubaliana kupambana na kirusi hatari cha Corona. Wachimba migodi tisa wa Lesotho (Lesutu) wameuwawa nchini Afrika Kusini.

https://p.dw.com/p/3X8sb